Posts

Showing posts from January, 2025

Wanaorudia mitihani kidato cha kwanza na cha nne

Image
 Pata elimu kwa masomo yote  Soma kwa njia ya mtandao kupitia ukurasa huu.

Three suitors one husband

Image
 Uchambuzi wa tamthiliya ya three suitors one husband.

Ngoswe penzi kitovu cha uzembe

Image
 Uchambuzi wa tamthiliya ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe. Tazama video ifuatayo 

Historia kidato cha Kwanza hadi sita

Image
 Modes of production  Here are the modes of production the world passed through. 1. Primitive communism (communalism) 2. Slavery  3. Feudalism  4. Capitalism  Tazama video ifuatayo kwa elimu na maelekezo zaidi

Mtaala mpya shule za sekondari 2025

Image
 Taasisi ya elimu Tanzania (TET) Baada ya shule kufunguliwa haya ndio mambo ambayo taasisi ya elimu Tanzania TET na wizara ya elimu Tanzania wametaka wazazi, walimu na wadau wa elimu kuyajua kuhusu mchakato wa Mtaala mpya kwa shule za sekondari kwa mwaka 2025 Imesema kuwa mwaka 2025 mtaala mpya kuanza kutumika.  Katika Mtaala huu kuna mabadiliko machache kama vile. * Somo la civics kuondolewa na kuwekwa somo jipya la historia ya Tanzania na Bofya link/ kiungo hapo chini kutazama video ya maelekezo  https://youtube.com/shorts/0l1eIOVX6qs?feature=share maadili. Somo hili litafundishwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia kidato cha kwanza mwaka huu 2025. *Somo la commerce kuondolewa na kuanzishwa kwa somo jipya la elimu ya biashara (business education) Wizara ya elimu na taasisi ya elimu imefanikiwa kuanzisha Mtaala huu mpya kwa mwaka huu 2025 Pia elimu ya amali (mafunzo ya ufundi) nayo kuanzishwa kwa baadhi ya shule, hii ni kutaka kuwajengea wanafunzi uwezo wa ubunifu na ujuzi ...