Mtaala mpya shule za sekondari 2025

 Taasisi ya elimu Tanzania (TET)

Baada ya shule kufunguliwa haya ndio mambo ambayo taasisi ya elimu Tanzania TET na wizara ya elimu Tanzania wametaka wazazi, walimu na wadau wa elimu kuyajua kuhusu mchakato wa Mtaala mpya kwa shule za sekondari kwa mwaka 2025



Imesema kuwa mwaka 2025 mtaala mpya kuanza kutumika. 

Katika Mtaala huu kuna mabadiliko machache kama vile.

* Somo la civics kuondolewa na kuwekwa somo jipya la historia ya Tanzania na


Bofya link/ kiungo hapo chini kutazama video ya maelekezo 

https://youtube.com/shorts/0l1eIOVX6qs?feature=share


maadili.

Somo hili litafundishwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia kidato cha kwanza mwaka huu 2025.


*Somo la commerce kuondolewa na kuanzishwa kwa somo jipya la elimu ya biashara (business education)



Wizara ya elimu na taasisi ya elimu imefanikiwa kuanzisha Mtaala huu mpya kwa mwaka huu 2025


Pia elimu ya amali (mafunzo ya ufundi) nayo kuanzishwa kwa baadhi ya shule, hii ni kutaka kuwajengea wanafunzi uwezo wa ubunifu na ujuzi katika ufundi na sanaa mbalimbali 


Yapi ni maoni yako wewe mzazi na mdau wa elimu?


Pata video za elimu ya sekondari 



Comments

Popular posts from this blog

PHYSICS MTAALA MPYA, NI MZURI NA NI WA KUJENGA KAMA WANAFUNZI WATAFANYA KWA VITENDO

Physics questions with answers kidato cha kwanza