PHYSICS MTAALA MPYA, NI MZURI NA NI WA KUJENGA KAMA WANAFUNZI WATAFANYA KWA VITENDO
Taasisi ya elimu Tanzania Mwaka 2025
Umetoa muongozo jinsi ya mtaala ulioboreshwa wa elimu ya sekondari utakavyokuwa, hasa kwenye somo la fizikia ambalo limesisitizwa kuwa liwe ni somo linalojenga maarifa ya vitendo ili kuandaa wanafunzi ambao wataweza kuendana na kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Wadau wa elimu wanatakiwa kusimamia hilo ili kuwajengea wanafunzi umahiri mkubwa katika masomo ya sayansi ikiwemo fizikia.
Sisi pia kama wadau wa elimu Tanzania tutakuwa tunakuletea machapisho mbalimbali ambayo yatakuwa yakakusaidia namna ya kufundisha somo la fizikia na kulifanya kwa vitendo Ili kuweza kuwajengea wanafunzi uwezo wa ubunifu katika nyanja mbalimbali.
Machapisho yetu yakakusaidia mdau wa elimu, mwanafunzi na mwalimu katika harakati za kutekeleza mtaala ulioboreshwa.
Hapa tutakuletea namna ya kujibu maswali ya fizikia katika mtaala mpya ulioboreshwa wa competance based.
Maada zilizomo katika kitabu cha physics kidato cha kwanza katika mtaala ulioboreshwa
1. Introduction to physics
2. Measurement
3. Introduction to force
4. Relative density
5. Floating and sinking
6. Mechanical properties of matter
7. Pressure
8. linear motion
9. Work energy and power.
Karibu sana kwenye ukurasa huu uweze kujifunza mengi zaidi yahusuyo masomo ya msingi na sekondari pia vyuo vikuu na vya kati.

Comments
Post a Comment