Mtaala mpya shule za sekondari 2025
Taasisi ya elimu Tanzania (TET) Baada ya shule kufunguliwa haya ndio mambo ambayo taasisi ya elimu Tanzania TET na wizara ya elimu Tanzania wametaka wazazi, walimu na wadau wa elimu kuyajua kuhusu mchakato wa Mtaala mpya kwa shule za sekondari kwa mwaka 2025 Imesema kuwa mwaka 2025 mtaala mpya kuanza kutumika. Katika Mtaala huu kuna mabadiliko machache kama vile. * Somo la civics kuondolewa na kuwekwa somo jipya la historia ya Tanzania na Bofya link/ kiungo hapo chini kutazama video ya maelekezo https://youtube.com/shorts/0l1eIOVX6qs?feature=share maadili. Somo hili litafundishwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia kidato cha kwanza mwaka huu 2025. *Somo la commerce kuondolewa na kuanzishwa kwa somo jipya la elimu ya biashara (business education) Wizara ya elimu na taasisi ya elimu imefanikiwa kuanzisha Mtaala huu mpya kwa mwaka huu 2025 Pia elimu ya amali (mafunzo ya ufundi) nayo kuanzishwa kwa baadhi ya shule, hii ni kutaka kuwajengea wanafunzi uwezo wa ubunifu na ujuzi ...
Comments
Post a Comment