UHABA WA WALIMU WA PHYSICS

 Walimu wa physics waendelea kuwa dili mtaani.

Baada ya ajira mpya za walimu kutoka serikalini kuajiri walimu wengi wa physics, mtaani kumekuwa na uhaba wa walimu wa physics, shule mbalimbali zimejiuta zilihitajika kutafuta walimu wengine baada ya walimu waliokuwa mtaani kuajiriwa serikalini.

Serikali baada ya kutoa ajira nyingi za walimu kwa mwaka 2024/2025 vijana waliokuwa mtaani sasa waingia kwenye ajira ya serikali katika mashule mbalimbali.

Wakiwemo walimu, hii ni nafasi nzuri kwa wanafunzi wanaosoma ualimu watakapo maliza nafasi za kazi kwenye private sector zinawasubiri.



Comments

Popular posts from this blog

Mtaala mpya shule za sekondari 2025

PHYSICS MTAALA MPYA, NI MZURI NA NI WA KUJENGA KAMA WANAFUNZI WATAFANYA KWA VITENDO

Physics questions with answers kidato cha kwanza